Get Mystery Box with random crypto!

Who else has experienced rigging in the supermarkets??ie the p | WORLD COMEDY.

Who else has experienced rigging in the supermarkets??ie the price tag attached is different from wats in their system.hadi nimechanuka

Siku hizi Mimi nikienda shopping lazima nibebe forms 34As za kila items yaani nango'oa kila price tag ya kila item nanunua.Nikifika hapo kwa cashier akihesabu, nahesabu akijumuisha najumuisha akitangaza natangaza then zikiwa sawa nawarudishia tags zao na kumbuka hapo kando yangu niko na observer thats my daughter incase wanajaribu kunicheza,ana protest.