Ushawahi pata tabu kuelewa core i3, i5 na i7 zina maana gani katika majina ya processor za Intel? Video hii inaelezea maana ya majina ya Intel processors na uwezo wake. Gusa link hii kutizama video yote 82 viewsCharles Venny, 15:05