Get Mystery Box with random crypto!

Kenyan Memes and Jokes page

Logo of telegram channel kenyanmemes001 — Kenyan Memes and Jokes page K
Logo of telegram channel kenyanmemes001 — Kenyan Memes and Jokes page
Channel address: @kenyanmemes001
Categories: Entertainments
Language: English
Subscribers: 4.99K
Description from channel

Swahili jokes and memes | clean content 24/7
Also check out these channels
👉🏻 @jokersmokermemes001
👉🏻 @wallpaperske001
👉🏻 @jokesempire001
👉🏻 @kenyanmemes002
Admin @jokersmoker002

Ratings & Reviews

2.33

3 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

0

4 stars

1

3 stars

0

2 stars

1

1 stars

1


The latest Messages 53

2022-01-10 07:15:22 Hawa wanaume hupost "Wish me quick recovery" ndio huwa wanashika watu wa nduthi kwa kiuno
193 views04:15
Open / Comment
2022-01-10 07:14:58 Hakuna kitu huflow vizuri kama a wrong math calculation
194 views04:14
Open / Comment
2022-01-10 07:13:50 Achana na heart break...ushai ngoa ukitusi mtu!?
193 views04:13
Open / Comment
2022-01-10 07:11:44 Unavuta bhangi na manzi yako kidogo kidogo Kila mtu anaamua kupigia bae wake
193 views04:11
Open / Comment
2022-01-10 07:10:21 Ushago nlitokwa simu family gathering bana,mpaka sai sijarecover ju mtu alikaa karibu na mm ni budangu
192 views04:10
Open / Comment
2022-01-10 07:07:15 Venye mwanaume aneza weka wimbo aende bafu na atoke before chorus still blows my mind
194 views04:07
Open / Comment
2022-01-10 07:06:44 Unashida inbox ya wasichana ukiwauliza what turns you on.kwani wewe ni fundi wa stima
192 views04:06
Open / Comment
2022-01-08 13:44:07 Comrade wanalia tuu njaa shule but nguvu ya kukulana sijui wanatoa wapi
247 views10:44
Open / Comment
2022-01-08 13:43:53 Bangi hata ikitolewa kwa boxer ama kwa socks lazma tu mtachoma
250 views10:43
Open / Comment
2022-01-08 13:43:34 Sasa juu nimelamba sahani ndo maana kila mtu ananiangalia,,na chakula yenyewe nimenunua na pesa yangu
252 views10:43
Open / Comment