Get Mystery Box with random crypto!

Kenyan Memes and Jokes page

Logo of telegram channel kenyanmemes001 — Kenyan Memes and Jokes page K
Logo of telegram channel kenyanmemes001 — Kenyan Memes and Jokes page
Channel address: @kenyanmemes001
Categories: Entertainments
Language: English
Subscribers: 4.99K
Description from channel

Swahili jokes and memes | clean content 24/7
Also check out these channels
👉🏻 @jokersmokermemes001
👉🏻 @wallpaperske001
👉🏻 @jokesempire001
👉🏻 @kenyanmemes002
Admin @jokersmoker002

Ratings & Reviews

2.33

3 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

0

4 stars

1

3 stars

0

2 stars

1

1 stars

1


The latest Messages 57

2021-12-19 09:01:21 Kuna dame akona ball amebishana na waiter hapa kwa hoteli akaulizwa ni tabia gani hio anafundisha mtoto
54 views06:01
Open / Comment
2021-12-19 08:56:42 Uzuri ya kufanya mjengo huwezi pata hizi ugonjwa ndogo mapua imenusa simiti hadi ndani iko na plaster
57 views05:56
Open / Comment
2021-12-19 08:51:42 Kupenda rich kid ni stress unapenda mtu na yeye anapenda mbwa
60 views05:51
Open / Comment
2021-12-19 08:48:04 One of my biggest fears of going abroad ni upate hakuna mutura
64 views05:48
Open / Comment
2021-12-19 08:46:47 Nmekutana na gari ya kubeba mavi ikienda slow ,i guess iko exhausted
66 views05:46
Open / Comment
2021-12-17 15:29:43 Huyu amenunua bale ya 25k pale Githurai , kufunga akapata ni nguo za karate...hawa wanamwambia avae apigane na umaskini
306 views12:29
Open / Comment
2021-12-17 15:29:17 Ushago they don't care if u are heartbroken,, kukamua ngombe nayo lazma ukamue
309 views12:29
Open / Comment
2021-12-17 15:27:48 Nowadays wanadinywa sim 2 wakishidwa kutembea wanasema ni cramps
308 views12:27
Open / Comment
2021-12-17 15:26:08 Nganya za Ronga heri zizunguke ady laikipia lakini zisisimame kwa jam
307 views12:26
Open / Comment
2021-12-17 15:25:17 Mahali imefika kila mtu apewe matope ajintengenezee Mtu wake akikupiga character development unamwagilia maji
304 views12:25
Open / Comment