Channel address:
Categories:
Entertainments
Language: English
Subscribers:
4.99K
Description from channel
Swahili jokes and memes | clean content 24/7
Also check out these channels
👉🏻 @jokersmokermemes001
👉🏻 @wallpaperske001
👉🏻 @jokesempire001
👉🏻 @kenyanmemes002
Admin @jokersmoker002
Ratings & Reviews
Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.
5 stars
0
4 stars
1
3 stars
0
2 stars
1
1 stars
1
The latest Messages 64
2021-11-15 12:40:54
Unajipiga spray badala nyuki zikufuate ni nzi zinacheza cheza na wewe
542 views09:40
2021-11-12 16:38:41
Kuishi kwa nyumba yaa mabati ni stress, jirani zako wakipigana inabidi utoe TV karibu na mabati
803 views13:38
2021-11-12 16:38:29
Karibu nigongwe na lori ya mavi bana it would have been a shitty accident
789 views13:38
2021-11-12 16:38:17
Usingizi ya mat haikuwangi poa. Unamkanga unashangaa hawa waliingia kwako aje
777 views13:38
2021-11-12 16:38:05
The only heart break i know,,ni ile karatasi ya queen cake ibebwe na upepo na sijaikula
758 views13:38
2021-11-11 00:58:09
Kuku inakuwanga na Kidneys?
945 views21:58
2021-11-11 00:57:51
Nimesikia jirani akiuliza bibi yake alikuwa wapi jana usiku....
Ndo na pack my belongings before morning ifike sijui mbona...
920 views21:57
2021-11-11 00:56:26
Kama Mtura huwa tamu hivo na iko pekee yake na ukiweza kula na avocado sasa
839 views21:56
2021-11-11 00:56:00
Uyu ananiita mwizi na nilikuwa nataka kuona kama simu yake inaweza toshea kwa mfuko yangu
824 views21:56
2021-11-11 00:55:16
Kama ni mtaro cheza na walls kama mende
794 views21:55