Habari yako? Nikufahamishe kuwa kuna njia mbadala ya kupata p | Mediztechtips
Habari yako?
Nikufahamishe kuwa kuna njia mbadala ya kupata password ya Wireless network bila Ku apply hack Note: Ili njia hii ifanye kazi vizuri lazima uwe connected ama uliwahi kupata connection ya hio wireless network.
Hii njia inafanya kazi kwa Windows operating System kwa kutumia a basic tool called command prompt
Katika command Prompt,tuta send command ili kusudi tupate passwords ambazo PC zetu ziliwahi kuwa connected to.
An Alternate way to get wireless password without applying any kind of hack.
In this method we'll use command prompt for windows.