🔥 Burn Fat Fast. Discover How! 💪

MFUMO WA KUTUMA MAOMBI YA AJIRA UALIMU WAWEKWA TAYARI Maeleke | Տchool PVH

MFUMO WA KUTUMA MAOMBI YA AJIRA UALIMU WAWEKWA TAYARI

Maelekezo.
1 .Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia "Jisajili" kuanza kuomba
2. Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
3. Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
4. Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
5. Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
6. Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
7. Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako

Kwa Msaada
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210

@schoolpvh1