🔥 Burn Fat Fast. Discover How! 💪

KAMA UNAPATA SHIDA JINSI YA KUPATA NAMBA YA KULIPIA APP hii is | Տchool PVH

KAMA UNAPATA SHIDA JINSI YA KUPATA NAMBA YA KULIPIA APP
hii isikupe shida mtumiaji wa app ya schoolpvh
kwa sasa kama unatumia M- pesa au Airtel money ukishafungua app ya SchoolPvh unachagua level either primary or O-level or A-level baada ya hapo itakupeleka kulipia apo ndo utachagua ulipie mtandao upi ulio na salio ukisha chagua unaingiza namba ya siri  na namba baada ya hapo utapokea ujumbe kwamba ushalipia kisha app itafunguka bila shida

Kama app inasumbua kufunguka kabla ujalipia
Unatakiwa ku-update kwanza app ya SchoolPvh kupitia Play store ili kupata option ya kulipia kwa M-pesa au Airtel money
Update kupitia link hii
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh

Tunaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza
Kwa maelezo zaidi
Piga namba hizi
+255626272229
+255747272228
@SchoolPvhTeam