Get Mystery Box with random crypto!

DKT. MPANGO: WACHUKULIENI HATUA WAHITIMU WANAOANDIKIWA RIPOTI | Տchool PVH

DKT. MPANGO: WACHUKULIENI HATUA WAHITIMU WANAOANDIKIWA RIPOTI CHUO KIKUU HURIA

Makamu wa Rais amesema kuna uwepo wa malalamiko kwamba baadhi ya wahitimu wa Uzamili na Uzamivu huandikiwa ripoti zao za utafiti na kusababisha kuajiriwa Watu wasio na sifa

Soma https://jamii.app/ChuoKikuuHuria

#Governance