Get Mystery Box with random crypto!

Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 2 Novemb | Տchool PVH

Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 2 Novemba 2022 ni 690,341. Wasichana 367,013 (53.16%) na Wavulana 323,328 (46.84%)

Wanafunzi 635,130 (92.0%) walifanya Mtihani wa Upimaji. Wasichana 342,210 (93.24%) na Wavulana 292,920 (90.60%)

Wanafunzi 66 wamefutiwa Matokeo kutokana na kufanya Udanganyifu na Kuandika Matusi kwenye Mitihani.

@schoolpvh1