Get Mystery Box with random crypto!

TAARIFA Baraza la Mitihani la Zanzibar linatarajia kutangaza m | Տchool PVH

TAARIFA
Baraza la Mitihani la Zanzibar linatarajia kutangaza matokeo ya Mitihani ya Taifa kwa Darasa la Nne, Darasa la Saba, na Kidato cha Pili leo tarehe 21/01/2023 saa 8:00 kamili za mchana.
Matokeo yote yatapatikana kupitia schoolpvh.ac.tz
@schoolpvh1