🔥 Burn Fat Fast. Discover How! 💪

Serikali imeanzisha uchunguzi juu ya uwepo wa vitabu vya msaad | Տchool PVH

Serikali imeanzisha uchunguzi juu ya uwepo wa vitabu vya msaada vinavyotajwa kutokwenda sambamba na maadili hapa nchini kufuatia kusambaa kwa picha mbalimbali za vitabu hivyo mitandaoni. Mfano wa kilichoandikwa na kutajwa kupotosha maadili ya Kitanzania ni aina za familia.

Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolph Mkenda.

@schoolpvh1