Get Mystery Box with random crypto!

Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo y | Տchool PVH

Baraza la Mitihani la Tanzania linatarajia kutangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT) 2022 leo tarehe 29 Januari, 2023. Matangazo hayo yatakuwa mubashara (live) kupitia youtube channel ya NECTA (nectaonline) kuanzia saa 4 asubuhi.
Matokeo yatapatikana
schoolpvh.ac.tz