🔥 Burn Fat Fast. Discover How! 💪

MKENDA: UDANGANYIFU WA MITIHANI NI SAWA NA UHUJUMU UCHUMI Waz | Տchool PVH

MKENDA: UDANGANYIFU WA MITIHANI NI SAWA NA UHUJUMU UCHUMI

Waziri wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, amesema Watumishi wa Umma watakaobainika kushiriki katika udanganyifu watachukuliwa hatua ikiwemo kufukuzwa Kazi na kushtakiwa

Wanafunzi 337 (0.06%) wamefutiwa matokeo kutokana na udanganyifu kati ya 560,335 waliohitimu kidato cha 4 Mwaka 2022, wengine 20 matokeo yao yamezuiliwa kwaajili ya uchunguzi

Soma https://jamii.app/Mitihani2023