Get Mystery Box with random crypto!

I'll be sharing jobs watu wamelia sana wanauza vitu na may be | 𝗠𝗲𝗺𝗲 𝗪𝗼𝗿𝗹𝗱 𝐊𝐄🇰🇪

I'll be sharing jobs watu wamelia sana wanauza vitu na may be watu wanaeza taka izo bidhaa wako apa na kuna watu wamesema hakuna job Kenya so I'll be sharing

If you want any kind of job or you want any kind of someone to help you or you want to hire someone inbox me @imrahn_the_cartoon

Pamoja tuinuane
Ukiwa na opportunity don't be selfish just share and help each other

Kila siku isikue ni memes na tunateseka behind our phones