Get Mystery Box with random crypto!

NAMNA YA KUMSAIDIA MTOTO KUWA MTU BORA KWENYE JAMII 1. Mfundi | Տchool PVH

NAMNA YA KUMSAIDIA MTOTO KUWA MTU BORA KWENYE JAMII

1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake

2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi wengi wana asili ya kuamua kila kitu wanachoamini ni kizuri kwaajili ya Watoto wao

3. Washirikishe Watoto kwenye uwekaji wa Sheria/Miongozo itakayowasaidia wawe na tabia njema. Mtoto wako anapohusika na kuwajibika kwenye uwekaji wa sheria zilizo katika familia, atakuwa na uwezekano mkubwa wa kuzifuata.

@schoolpvh1