Get Mystery Box with random crypto!

ni kwenye ufundi na ujuzi hivyo ni vizuri kujiandaa. Hili tuna | Տchool PVH

ni kwenye ufundi na ujuzi hivyo ni vizuri kujiandaa. Hili tunalisema mapema ili wanafunzi watakaoomba katika kipindi hicho wajue pia katika vyuo vya ufundi kuna fursa ya kupata mikopo," amesema Prof. Mkenda.
@schoolpvh

Mhe. Mkenda ametumia fursa hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuongeza bajeti ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu kutoka bilioni 464 hadi kufikia bilioni
570, kuondoa adhabu ya asilimia 10 ya wanaochelewa kurejesha mikopo na kufuta asilimia 6 ya kulinda thamani.

Aidha Waziri Mkenda ametoa wito kwa wanafunzi wanaoomba mikopo ya elimu juu kutoa taarifa zote zinazotakiwa kwa ukamilifu na kwa wakati ili waweze kupata mikopo hiyo bila changamoto.

"Mkopo unatolewa kulingana na taarifa anazotoa mwombaji, ukitoa taarifa ambazo sio kamili kunakuwa na changamoto hivyo toeni taarifa kamili na Bodi itaendelea kuchakata taarifa hizo
ili wanaostahili kupata mikopo wapate," amefafanua Waziri Mkenda.
@schoolpvh