UTEUZI: BASHUNGWA AHAMISHIWA ULINZI, KAIRUKI APELEKWA TAMISEMI Rais Samia amefanya mabadiliko hayo kwa kumteua Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Pia, amemteua Angellah Jasmine Kairuki kuwa Mbunge na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) #JamiiForums #JFGovernance 431 views13:36