🔥 Burn Fat Fast. Discover How! 💪

MATUMIZI MAKUBWA YA CHUMVI NI HATARI KWA AFYA YA MOYO Chumvi | Տchool PVH

MATUMIZI MAKUBWA YA CHUMVI NI HATARI KWA AFYA YA MOYO

Chumvi mbichi inayoongezwa baada ya chakula kuiva ikitumika kwa wingi inaweza kusababisha shinikizo la juu la Damu ambalo moja ya madhara yake ni kutanuka kwa Moyo

Pia, Juisi za kusindika au kuongeza Sukari pindi unapotengeneza pamoja na kula kwa wingi Vyakula vya Wanga ni hatari kwa Moyo

Soma https://jamii.app/ElimuAfya

#JFAfya