🔥 Burn Fat Fast. Discover How! 💪

NECTA: TUHUMA ZA MWANAFUNZI ALIYEBADILISHIWA NAMBA YA MTIHANI | Տchool PVH

NECTA: TUHUMA ZA MWANAFUNZI ALIYEBADILISHIWA NAMBA YA MTIHANI NI ZA KWELI

Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, amesema uchunguzi umebaini Wanafunzi wengine 6 walibadilishiwa namba katika Mtihani wa Taifa wa Darasa la 7

Serikali imeifungia Shule ya Chalinze Modern Islamic Pre and Primary kuwa kituo cha Mtihani kwa muda usiojulikana na kuagiza hatua zichukuliwe dhidi yao

Soma https://jamii.app/NECTANumber

#SocialJustice #JFElimu #Uwajibikaji