Get Mystery Box with random crypto!

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watu wote | Տchool PVH

Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kuwajulisha watu wote wanaotarajia kufanya
Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Maarifa (QT), mwaka 2023 kama Watahiniwa
wa Kujitegemea kwamba;
Kipindi cha usajili kwa Watahiniwa wa Kujitegemea kimeanza tarehe 01/01/2023
hadi 28/02/2023. Ada ya usajili ni Shilingi 50,000/= kwa Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 30,000/= kwa Mtihani wa Maarifa (QT). Aidha, watakaojisajili kwa kuchelewa yaani kuanzia tarehe 01/03/2023 hadi 31/03/2023 watalipa Shilingi 65,000/= kwa ajili ya Mtihani wa Kidato cha Nne (CSEE) na Shilingi 40,000/= kwa ajili ya Mtihani wa Maarifa (QT) ikiwa ni ada ya kawaida pamoja na faini.
@schoolpvh1