Get Mystery Box with random crypto!

Idadi ya Wanafunzi wanaotakiwa kuanza Kidato cha Kwanza imekuw | Տchool PVH

Idadi ya Wanafunzi wanaotakiwa kuanza Kidato cha Kwanza imekuwa ya kusuasua ambapo hadi kufikia Januari 15, 2023, Wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye mahitaji maalum 697 ndio walioripoti Shuleni

Wanafunzi hao ni 33% tu ya Matarajio ya kupokea Wanafunzi 1,070,941 waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza Mwaka 2023

Katika idadi hiyo, Wanafunzi 14,581 ni wa MEMKWA (Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Walioikosa) na kati yao 334 ni wenye Mahitaji Maalum.
-
#JamiiForums