Get Mystery Box with random crypto!

Տchool PVH

Logo of telegram channel schoolpvh1 — Տchool PVH Տ
Logo of telegram channel schoolpvh1 — Տchool PVH
Channel address: @schoolpvh1
Categories: Education
Language: English
Subscribers: 11.31K
Description from channel

The center of academic resources
📚 Primary School to teachers college
Android
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh
iOS
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210
📞
255747272228
255626272229

Ratings & Reviews

4.00

2 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

1

4 stars

0

3 stars

1

2 stars

0

1 stars

0


The latest Messages 2

2023-03-03 00:00:14
4.4K views21:00
Open / Comment
2023-02-26 10:57:52 A Standard Online Education Learning Platform Primary school to college Tanzania

SchoolPvh is an online learning platform through a mobile application launched to solve the education challenges. It aims at creating and providing an access to local, qualified and credible educational learning resources for the learners through their mobile phones anywhere and anytime.

1. Primary School (English and Swahili Medium)
2. Ordinary level ( Basic subject + Technical subject)
3. Advanced level (All subject combination)
4. Teachers college - Grade A
5. Teachers college - Diploma in Secondary education
Install/download the app by clicking this link
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh

Join us through
Telegram : https://t.me/schoolpvh1
Facebook : https://fb.me/schoolpvh
5.7K views07:57
Open / Comment
2023-02-26 10:57:47 MITIHANI MASOMO YOTE
Ipo hapa
https://t.me/pvh_exams
4.6K views07:57
Open / Comment
2023-02-21 08:28:18
6.3K views05:28
Open / Comment
2023-02-19 16:37:42 SchoolPvh 4.5.0 Latest Version.apk
546 views13:37
Open / Comment
2023-02-19 08:03:42 VITABU 16 VYAPIGWA MARUFUKU KUTUMIKA SHULENI, TAASISI ZA ELIMU

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imepiga marufuku matumizi ya vitabu 16 vinavyokwenda kinyume na maadili kwenye Shule na Taasisi zote za Elimu.  
Vitabu hivyo vimepigwa marufuku na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda kwa mamlaka aliyopewa chini ya Kifungu cha 59 cha Sheria ya Elimu Sura ya 353.
Profesa Mkenda Amevitaja vitabu hivyo kuwa ni
Diary of a Wimpy Kid, Diary of a Wimpy Kid
-Rodrick Rules, Diary of Wimpy Kid  
- The Last Straw, Diary of Wimpy Kid-Dog Days, Diary of a Wimpy Kid The Ugly Truth, Diary of a Wimpy Kid -Cabin Fever, Diary of a Wimpy Kid
- The Third Wheel na Diary of a Wimpy Kid - Hard Luck.
 Vingine ni Diary of a Wimpy Kid - The Long Haul, Diary of a Wimpy Kid
-Old School, Diary of a Wimpy Kid
-Double Down, Diary of a Wimpy Kid-The Gateway,  Diary, Diary of a Wimpy Kid-Diper Overlode, Is for TANSGENDER ( you know best who you are!), Is for LGBTQIA ( find the words that make you you) na Sex  Education a Guide to life.

Prof. Mkenda ametoa rai kwa watanzania kupiga namba 0262160270 ya mezani na 0737 962965 ya mkononi ili kutoa taarifa ya uwepo wa vitabu hivyo shuleni na kwamba hatua kali zitachukuliwa kwa shule  yoyote itakayokutwa na vitabu hivyo ikiwemo kufutiwa usajili.

@schoolpvh1
1.0K viewsedited  05:03
Open / Comment
2023-02-15 14:52:11 UFAFANUZI KUHUSU WANAFUNZI WALIOFUTIWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022

Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa ufafanuzi kuhusu watahiniwa waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022.

Akitoa ufafanuzi huo Jijini Dodoma katika mkutano na waandishi wa habari, Mhe. Prof. Adolf Mkenda (Mb), Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema kati ya watahiniwa 560,335 waliofanya mtihani, 337 ndio waliofutiwa matokeo na wengine 20 matokeo yao yamezuiliwa yakisubiri uchunguzi kukamilika.

Waziri Mkenda amesema kuwa kati ya waliofutiwa matokeo wanne waliandika lugha isiyo na staha, 51 walikutwa na maandishi yasiyoruhusiwa ndani ya chumba cha mtihani, 10 walikamatwa na simu na smart watch, 9 walifanyiwa mtihani na watu wengine na 27 walikamatwa wakisaidiana katika chumba cha mtihani.

"Wengine sita kutoka kituo cha Mnemonic, Zanzibar waligundulika kutumia jukwaa la WhatsApp kupata majibu kutokana na yule mmoja aliekutwa na simu, 206 walikuwa na mfanano wa majibu usio wa kawaida ukihusisha kituo cha mtihani cha Thaqaafa, Mwanza na Twibhoki Mara , huku 24 wa kituo cha Cornellius ambacho pia kilikuwa na watahiniwa kutoka shule ya Andrew Father Memorial waligundulika kupewa majibu kabla ya kuingia chumba cha mtihani," amefafanua Prof. Mkenda.

Waziri Mkenda ameongeza kuwa Serikali inafanya jitihada kumaliza kabisa tatizo la udanganyifu na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watumishi wa umma wote watakaobainika kuhusika na udanganyifu huo.

"Gharama za kuendesha mitihani ni kubwa sana; kufanya udanganyifu ni sawa na uhujumu uchumi hivyo watumishi wote watakaobainika kuhusika watafukuzwa kazi na kushtakiwa," amesema Prof. Adolf Mkenda.

Katika hatua nyingine Waziri Mkenda amesema Serikali imeanza mchakato wa kubadilisha sheria ya kudhibiti wizi wa mitihani ili kuhakikisha hatua kali zinachukuliwa kwa wanaofanya udanganyifu na kuongeza kuwa ili kuhakikisha ubora wa elimu unalindwa ni muhimu kuhakikisha tunaepuka udanganyifu.

"Kubwa zaidi ni kuwa na maadili na uadilifu. Mtoto mdogo akifundishwa kuwa ili afanikiwe ni lazima aibe, hiyo ni kulibomoa taifa. Lazima tuwe makini na tusimame kidete kuhakikisha tunasimamia maadili katika elimu yetu," ameongeza Waziri Mkenda.

Aidha Prof. Mkenda amewataka wazazi na walezi ambao wanahitaji taarifa zaidi wawasiliane na Baraza la Mitihani au hata Wizara ya Elimu ili kupata ufafanuzi.

Mkenda ameongeza kuwa uchunguzi unaendelea kupitia jeshi la Polisi katika maeneo mbalimbali huku akieleza baadhi ya watuhumiwa wako chini ya ulinzi.
@schoolpvh1
1.4K views11:52
Open / Comment
2023-02-14 20:28:03 ACSEE_2023_Timetable
@schoolpvh1
882 viewsedited  17:28
Open / Comment
2023-02-14 20:22:32 PSLE_2023_Timetable
@schoolpvh1
908 viewsedited  17:22
Open / Comment
2023-02-14 20:17:35 SFNA_2023_Timetable
@schoolpvh1
925 viewsedited  17:17
Open / Comment