Channel address:
Categories:
Education
Language: English
Subscribers:
11.31K
Description from channel
The center of academic resources
📚 Primary School to teachers college
Android
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh
iOS
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210
📞
255747272228
255626272229
Ratings & Reviews
Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.
5 stars
1
4 stars
0
3 stars
1
2 stars
0
1 stars
0
The latest Messages 7
2023-01-06 13:32:28
Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 2 Novemba 2022 ni 690,341. Wasichana 367,013 (53.16%) na Wavulana 323,328 (46.84%)
Wanafunzi 635,130 (92.0%) walifanya Mtihani wa Upimaji. Wasichana 342,210 (93.24%) na Wavulana 292,920 (90.60%)
Wanafunzi 66 wamefutiwa Matokeo kutokana na kufanya Udanganyifu na Kuandika Matusi kwenye Mitihani.
@schoolpvh1
456 viewsedited 10:32
2023-01-06 13:24:40
Baadhi ya scheme of work zimetumwa kwenye Schoolpvh File
Ingia hapo pengine utakutana na unayohitaji
@pvh_exams
572 views10:24
2023-01-06 13:16:27
Hatua muhimu za kufata wakati unafanya uhamisho wa Mwanafunzi wa shule ya msingi kutoka Tanzania kwenda nchi yoyote au kutoka kuja Tanzania
Angalia hapa
https://www.schoolpvh.ac.tz/2023/01/transfer-primary-pupil.html?m=1
459 views10:16
2023-01-06 13:08:12
Mahitaji ya muhimu wakati wa kufanya hatua za uhamisho wa mwanafunzi wa sekondari kutoka
- Zanzibar kwenda Tanzania
- Tanzania kwenda Zanzibar
- Tanzania kwenda sehemu yoyote
Bofya link hii kufahamu zaidi
https://www.schoolpvh.ac.tz/2023/01/students-transfers-for-secondary.html
474 views10:08
2023-01-06 12:17:49
Je unatamani kuanzisha shule yako binafsi?Fuata hatua zifuatazo zilizoainishwa na serikali kupitia link hii
https://www.schoolpvh.ac.tz/2023/01/procedures-for-establishment-and.html?m=1
575 viewsedited 09:17
2023-01-06 00:39:54
FOMU_YA_UTHIBITISHO_WA_MATOKEO_WA_KUDUMU
@schoolpvh1
246 viewsedited 21:39
2023-01-06 00:38:02
FOMU_YA_UTHIBITISHO_WA_CHETI_(CERTIFICATION)
@schoolpvh1
252 viewsedited 21:38
2023-01-06 00:35:23
REGISTRATION_FORM_EDEXCEL_EXAMS_NECTA
@schoolpvh1
257 viewsedited 21:35
2023-01-06 00:34:14
PRIVATE_CANDIDATE_EDEXCEL_NECTA_ADVERTISEMENT
@schoolpvh1
258 viewsedited 21:34
2023-01-06 00:31:31
FOMU_YA_KULIPIA_MATOKEO_YALIYOZUILIWA
@schoolpvh1
253 viewsedited 21:31