Get Mystery Box with random crypto!

Տchool PVH

Logo of telegram channel schoolpvh1 — Տchool PVH Տ
Logo of telegram channel schoolpvh1 — Տchool PVH
Channel address: @schoolpvh1
Categories: Education
Language: English
Subscribers: 11.31K
Description from channel

The center of academic resources
📚 Primary School to teachers college
Android
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh
iOS
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210
📞
255747272228
255626272229

Ratings & Reviews

4.00

2 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

1

4 stars

0

3 stars

1

2 stars

0

1 stars

0


The latest Messages 5

2023-01-22 13:40:38
Serikali imeanzisha uchunguzi juu ya uwepo wa vitabu vya msaada vinavyotajwa kutokwenda sambamba na maadili hapa nchini kufuatia kusambaa kwa picha mbalimbali za vitabu hivyo mitandaoni. Mfano wa kilichoandikwa na kutajwa kupotosha maadili ya Kitanzania ni aina za familia.

Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolph Mkenda.

@schoolpvh1
5.0K views10:40
Open / Comment
2023-01-21 22:52:55 ORODHA YA MAJINA YA UHAMISHO KWA WATUMISHI 2260 WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KWENYE MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA MWAKA 2023
@schoolpvh1
4.0K viewsedited  19:52
Open / Comment
2023-01-21 17:40:41 BARAZA LA MITIHANI ZANZIBAR (BMZ)
TAARIFA YA MATOKEO YA MITIHANI YA TAIFA YA
DARASA LA NNE, LA SABA NA KIDATO CHA PILI YA
MWAKA 2022
@schoolpvh1
4.1K viewsedited  14:40
Open / Comment
2023-01-21 17:12:26 MUONGOZO WA KUTUNUKU
@schoolpvh1
3.7K viewsedited  14:12
Open / Comment
2023-01-21 14:42:13 MATOKEO YA MITIHANI ZANZIBAR 2022
Baraza la Mitihani zanzibar (BMZ) latangaza matokeo ya darasa la nne, darasa la saba na kidato cha pili mwaka 2022

Bofya link hii kuangalia matokeo yote
https://www.schoolpvh.ac.tz/p/bmz-results-zec.html?m=1

SchoolPvh hatukosei kukupa huduma bora ya Elimu Tanzania kuanzia msingi hadi vyuo vya Ualimu
Pakua app ya schoolPvh kupitia link hii uweze kupata Notes, solved past papers n.k
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh

Jiunge nasi telegram kwa taarifa nyingi za kitaaluma kupitia link hii
https://t.me/schoolpvh1
3.8K views11:42
Open / Comment
2023-01-21 14:39:41 MATOKEO YA MITIHANI ZANZIBAR 2022
Baraza la Mitihani zanzibar (BMZ) latangaza  matokeo ya darasa la nne, darasa la saba na kidato cha pili mwaka 2022

Bofya link hii kuangalia matokeo yote
https://www.schoolpvh.ac.tz/p/bmz-results-zec.html?m=1

SchoolPvh hatukosei kukupa huduma bora ya Elimu Tanzania kuanzia msingi hadi vyuo vya Ualimu
Pakua app ya schoolPvh kupitia link hii uweze kupata Notes, solved past papers n.k
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh

Jiunge nasi telegram kwa taarifa nyingi za kitaaluma kupitia link hii
https://t.me/schoolpvh1
3.5K views11:39
Open / Comment
2023-01-21 10:24:09 TAARIFA
Baraza la Mitihani la Zanzibar linatarajia kutangaza matokeo ya Mitihani ya Taifa kwa Darasa la Nne, Darasa la Saba, na Kidato cha Pili leo tarehe 21/01/2023 saa 8:00 kamili za mchana.
Matokeo yote yatapatikana kupitia schoolpvh.ac.tz
@schoolpvh1
3.5K views07:24
Open / Comment
2023-01-19 23:35:58
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh
549 views20:35
Open / Comment
2023-01-19 11:06:06 VIONGOZI WANAODAI RUSHWA KUPITISHA POSHO ZA WALIMU KUKIONA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amekemea vikali tabia ya baadhi viongozi kuomba rushwa ili kupitisha posho za madaraka kwa Walimu Wakuu.

Kairuki ametoa karipio hilo leo Januari 18, 2023 mkoani Kagera wakati akifungua kikao kazi cha tathmini ya utekelezaji wa mkakati wa elimu na uwekaji wa mpango kazi kwa mwaka 2023.

Amesema kuna baadhi ya Viongozi wa elimu Mkoani na Wilayani wamekuwa na tabia ya kuomba fedha (rushwa) kwa Walimu Wakuu wanapofuatilia vocha za malipo za posho ya madaraka.

" Kumekuwepo na taarifa kuwa baadhi ya viongozi mmekuwa mkiomba fedha kwa walimu wakuu ili muidhinishe fedha zao za posho ya madaraka jambo hili si haki na halikubaliki" amesema Kairuki.

Kutokana na hali hiyo, Kairuki amemuagiza Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-TAMISEMI anayeshughulikia elimu, Dkt. Charles Msonde kuhakikisha fedha za posho za madaraka zinapelekwa moja kwa moja kwenye akauti za benki za wahusika.

“Naibu katibu Mkuu (Dkt. Msonde) tabia hii ikome mara moja, hivyo naagiza muangalie namna ya malipo ya posho za madaraka ya Waalimu Wakuu zipelekwe moja kwa moja kwenye akaunti za wahusika na kuacha kupitisha kwenye mlolongo mrefu ambao unatumika hivi sasa" amesisitiza Kairuki.

Amesema kupeleka fedha kwenye akaunti za wahusika kutapunguza urasimu na michakato mirefu, kuongeza ufanisi na kuwapunguzia walimu mzigo wa kufuatilia fedha.

Aidha, Kairuki ametumia fursa hiyo kuwaonya Viongozi wenye tabia hizo na kusisitiza kuwa hawatasita kuwachukulia hatua za kinidhamu wale wote watakaobainika kuomba rushwa.
@schoolpvh1
1.2K views08:06
Open / Comment
2023-01-18 20:28:26
Idadi ya Wanafunzi wanaotakiwa kuanza Kidato cha Kwanza imekuwa ya kusuasua ambapo hadi kufikia Januari 15, 2023, Wanafunzi 354,277 wakiwemo wenye mahitaji maalum 697 ndio walioripoti Shuleni

Wanafunzi hao ni 33% tu ya Matarajio ya kupokea Wanafunzi 1,070,941 waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza Mwaka 2023

Katika idadi hiyo, Wanafunzi 14,581 ni wa MEMKWA (Mpango wa Elimu ya Msingi kwa Walioikosa) na kati yao 334 ni wenye Mahitaji Maalum.
-
#JamiiForums
42 viewsedited  17:28
Open / Comment