Get Mystery Box with random crypto!

Տchool PVH

Logo of telegram channel schoolpvh1 — Տchool PVH Տ
Logo of telegram channel schoolpvh1 — Տchool PVH
Channel address: @schoolpvh1
Categories: Education
Language: English
Subscribers: 11.31K
Description from channel

The center of academic resources
📚 Primary School to teachers college
Android
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.schoolpvh
iOS
https://apps.apple.com/tz/app/school-pvh/id6445867210
📞
255747272228
255626272229

Ratings & Reviews

4.00

2 reviews

Reviews can be left only by registered users. All reviews are moderated by admins.

5 stars

1

4 stars

0

3 stars

1

2 stars

0

1 stars

0


The latest Messages 28

2022-04-26 13:15:26
1.4K views10:15
Open / Comment
2022-04-26 13:14:08 Waombaji 83,514 waomba ajira kupitia mfumo
Kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi vizuri kwa kasi ya kutosha na mpaka tarehe 25.04.2022 saa nne usiku waombaji wa Kada ya Ualimu walikua 69,813 na Kada ya Afya ni 13,683.

Jumla ya Waombaji wote ni 83,514. Waombaji wote hawa wameomba kupitia mfumo ajira.tamisemi.go.tz kwa muda wa siku tano tu. Hivyo ni takribani waombaji 16,703 huwasilisha maombi kwa siku.
@schoolpvh
1.4K views10:14
Open / Comment
2022-04-24 17:08:13



TAMISEMI WAPO LIVE SASA
1.2K views14:08
Open / Comment
2022-04-23 08:49:55
1.1K views05:49
Open / Comment
2022-04-22 18:57:42
162 views15:57
Open / Comment
2022-04-21 10:15:47 Kama ni mara ya kwanza kutumia mfumo huu wa ajira.tamisemi.go.tz

Ingia hapa kucreate account
https://ajira.tamisemi.go.tz/#/authentication/register
1.7K views07:15
Open / Comment
2022-04-21 09:10:29 KARIBU TUJADILI PAMOJA HAPA
kwenye changamoto ya utumaji wa maombi ya ajira za ualimu 2022 kwenye link hii
t.me/walimu_tanzania
1.8K viewsedited  06:10
Open / Comment
2022-04-21 07:02:09 FAHAMU JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Maelezo jinsi ya kutuma maombi bofya link
https://www.schoolpvh.ac.tz/2021/05/ajira-za-walimu-zatangazwa-leo-2021.html?m=1
1.9K views04:02
Open / Comment
2022-04-21 06:51:59 MFUMO WA KUTUMA MAOMBI YA AJIRA UALIMU WAWEKWA TAYARI

Maelekezo.
1 .Kama ni muombaji mpya bofya kiunganishi cha juu kulia "Jisajili" kuanza kuomba
2. Ingiza namba ya NIDA au barua pepe kama jina la mtumiaji na uingize nywila yako kuingia ndani ya mfumo.
3. Baada ya kufanikiwa kuingia ndani, tafadhali kamilisha maombi yako kabla ya tarehe ya mwisho
4. Maombi yasiyokamilika hayatafanyiwa kazi
5. Hakikisha kabla ya kutuma maombi umesoma na kuelewa vizuri tangazo lilotolewa
6. Hakikisha vyeti ulivyo ambatanisha vinasomeka vizuri
7. Kuwasilisha taarifa za kughushi zitapelekea kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yako

Kwa Msaada
Tafadhali piga simu huduma kwa mteja : 026-2160210 au 0735-160210

@schoolpvh1
1.9K views03:51
Open / Comment